Hatimae Hamissa Kachoka Kukanwa na Diamond Platnumz...Aweka Mambo Hadharani

Hatimae Hamissa Kachoka Kukanwa na Diamond Platnumz...Aweka Mambo Hadharani
Kama mnavyoona kwenye picha hapo juu hiyo ni page ya mtoto wa Hamisa ambayo katika BIO ameweka majina halisi ya mtoto likiwemo la Diamond Platnumz ikimaanisha kuwa ndio baba wa mtoto......
Hamissa nilikua nasubiri hii siku maana nilikua siamini , leo Clouds FM Diamond sijui atasemaje kwani anatarajiwa kuongea Live Katika Kipindi cha Leo tena

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad