Elimu kwa hawa wote ni shida. Shule za msingi au sekondari bila ubongo timamu.Inaaibisha. Kiongozi kwenye ziara ya kitaifa inaibngiliana na kichama kwa matumizi yale yale ya Taifa CCM inafanya mambo yao.Hivi hakuna tofauti za ziara kitaifa na Kampeni za kisiasa? zote zimeunganika kwa malipo ya ya kisiasa? Sisi watu wa kawaida hatuelewi tunaomba tuelimishwe.
We mchangiaji hapo juu ndie mkosefu wa elimu na kwa kiasi kikubwa unasumbiliwa na msongo wa mawazo wa siasa za uchadema unaoambatana na mtazamo ghasi uliojengeka katika misingi ya upotoshaji,uongo,uzushi,uzandiki, na hofu kwa watanzania. Mara kadhaa utasikia kupitia kwenye wazua hofu wao wakittumia kete ya hofu kwa watanzania iji kujitafutia mtaji wa kisiasa, Tanzania kuna njaa? Tanzania inadaiwa mabilioni kimataifa usalama wanchi upo hatarini? Bomberdier imezuiliwa mpaka mabilioni yatolewe ? Hali ya uchumi ni mbaya wakati Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri Africa na duniani kwa ukuaji wa uchumi. Hiyo hapo juu ni mifano michache ya jinsi gani upizani inavyotumia kete ya hofu kisiasa ili kuwarubuni watanzania. Hawa madiwani mwanzo tuliambiwa wamenunuliwa na CCM sasa tunaambiwa elimu zao ni ndogo? Hao madiwani wa Chadema ni mwanzo tu nnaimani wengi wemye akili zao timamu kule Chadema wameshang'amua kuwa wapo kwenye dimbwi la wajinga na muda si mrefu wataondoka huko.
Haya yote ni ukweli mtupu. Umelala au. Tanzania tunadaiwa fedha nyingi sana. Kisa Mikataba mibovu na usimamizi mbaya wa raslimali zetu. Hatuna haja ya kukopa kama tunaakili. Ni mmoja mtanzania hujui kujitafakari kwa nini tunaitwa maskini na utajiri tunao. Mzungu hatoi cha bure. Hata kwao hampi ahata kakake. Chake ni chake sembuse wewe mwafrika mtanzania? lini utajiendeleza binafsi utoe hoja yenye manufaa badala ya utumbo kila kukicha. Ni kati ya watu wenye fikra finyu. Kwa wote wenye elimu safi hata wanaccm wenye uwezo wa kufikiri wanalijua hili. Haingekuwa na haja ya kutumbua kama watu wangeamka na kupigania haki zao na kutetea utajiri wao. Ni wajinga tu na waoga na wasiojua ukweli wa mambo ni viraza ambao wote tungeelimika vipasavyo ndio tutamuunga mkono Magufuli. Lakini tukijua Ndugu magufuli anafuata sheria zinazotutawala na kutulinda sote. Pia tukiwa huru pale ambapo tunauona udhaifu kupaweka sawa. Na si mtu mmoja ju kumsikiliza kama ndo yeye pekee je Taifa zima halina wanye elimu na hasira kwa mali tuliyoyapoteza na umaskini tulionao. Acheni geresha kwenye mambo muhimu yanayokabili Taifa. Ukichagua kulaza akili nyumbani kwako sawa. lakini si kuruhusu chombo cha umma ambacho kila mtu anakitegemea. Wajinga wengi huwa si rahisi kujijua ni wajinga. Ingekuwa rahisi hii nchi isingefikia hapa tulipo na ukosefu wa mahospitali bora, ulegevu wa viongozi hata ukimwamsha bado anaiba. Angalia viongozi wangapi Raisi aliowateua bado mafisadi. Na hiki ndicho ninachokiongelea. Raisi mwenyewe kashindwa ndani ya chama chake kuwapata viongozi safi. Na hii ni hali halisi nchi nzima, kwamba CCM kwa miaka kumi na tano imeendesha nchi kinyume cha sheria na demokrasia. sababu ya mazoea na kulindana matokeo yake ndio haya. Kila aonyeshaye ukweli kati yao anasurubiwa na hili ni Tatizo kuu. Kama Raisi aliposema leo Lema si adui imechukua miaka miwili baada ya kuona wana ushahidi. Wangapi wameumizwa na wangapi wamepotea, wangapi wamekufa. Na hata baada ya kuyajua yote haya nyie watu bado hamjaamka kielimu kuuona ukweli. Ni shida tupu sababu umaskini wa nchi ni nyinyi mnaouchgia.Elimu na kiwango cha elimu duni, woga, kulaza mwili na akili kutafuta utajiri wa haraka bila hekima. Fukara wa kufikiri akipata pesa na nguvu kinchi matokeo ndo haya. Itachukua muda kwa Watanzania wengi kuyaelewa haya.
Elimu kwa hawa wote ni shida. Shule za msingi au sekondari bila ubongo timamu.Inaaibisha. Kiongozi kwenye ziara ya kitaifa inaibngiliana na kichama kwa matumizi yale yale ya Taifa CCM inafanya mambo yao.Hivi hakuna tofauti za ziara kitaifa na Kampeni za kisiasa? zote zimeunganika kwa malipo ya ya kisiasa? Sisi watu wa kawaida hatuelewi tunaomba tuelimishwe.
ReplyDeleteWe mchangiaji hapo juu ndie mkosefu wa elimu na kwa kiasi kikubwa unasumbiliwa na msongo wa mawazo wa siasa za uchadema unaoambatana na mtazamo ghasi uliojengeka katika misingi ya upotoshaji,uongo,uzushi,uzandiki, na hofu kwa watanzania. Mara kadhaa utasikia kupitia kwenye wazua hofu wao wakittumia kete ya hofu kwa watanzania iji kujitafutia mtaji wa kisiasa, Tanzania kuna njaa? Tanzania inadaiwa mabilioni kimataifa usalama wanchi upo hatarini? Bomberdier imezuiliwa mpaka mabilioni yatolewe ? Hali ya uchumi ni mbaya wakati Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri Africa na duniani kwa ukuaji wa uchumi. Hiyo hapo juu ni mifano michache ya jinsi gani upizani inavyotumia kete ya hofu kisiasa ili kuwarubuni watanzania. Hawa madiwani mwanzo tuliambiwa wamenunuliwa na CCM sasa tunaambiwa elimu zao ni ndogo? Hao madiwani wa Chadema ni mwanzo tu nnaimani wengi wemye akili zao timamu kule Chadema wameshang'amua kuwa wapo kwenye dimbwi la wajinga na muda si mrefu wataondoka huko.
ReplyDeleteHaya yote ni ukweli mtupu. Umelala au. Tanzania tunadaiwa fedha nyingi sana. Kisa Mikataba mibovu na usimamizi mbaya wa raslimali zetu. Hatuna haja ya kukopa kama tunaakili. Ni mmoja mtanzania hujui kujitafakari kwa nini tunaitwa maskini na utajiri tunao. Mzungu hatoi cha bure. Hata kwao hampi ahata kakake. Chake ni chake sembuse wewe mwafrika mtanzania? lini utajiendeleza binafsi utoe hoja yenye manufaa badala ya utumbo kila kukicha. Ni kati ya watu wenye fikra finyu. Kwa wote wenye elimu safi hata wanaccm wenye uwezo wa kufikiri wanalijua hili. Haingekuwa na haja ya kutumbua kama watu wangeamka na kupigania haki zao na kutetea utajiri wao. Ni wajinga tu na waoga na wasiojua ukweli wa mambo ni viraza ambao wote tungeelimika vipasavyo ndio tutamuunga mkono Magufuli. Lakini tukijua Ndugu magufuli anafuata sheria zinazotutawala na kutulinda sote. Pia tukiwa huru pale ambapo tunauona udhaifu kupaweka sawa. Na si mtu mmoja ju kumsikiliza kama ndo yeye pekee je Taifa zima halina wanye elimu na hasira kwa mali tuliyoyapoteza na umaskini tulionao. Acheni geresha kwenye mambo muhimu yanayokabili Taifa. Ukichagua kulaza akili nyumbani kwako sawa. lakini si kuruhusu chombo cha umma ambacho kila mtu anakitegemea. Wajinga wengi huwa si rahisi kujijua ni wajinga. Ingekuwa rahisi hii nchi isingefikia hapa tulipo na ukosefu wa mahospitali bora, ulegevu wa viongozi hata ukimwamsha bado anaiba. Angalia viongozi wangapi Raisi aliowateua bado mafisadi. Na hiki ndicho ninachokiongelea. Raisi mwenyewe kashindwa ndani ya chama chake kuwapata viongozi safi. Na hii ni hali halisi nchi nzima, kwamba CCM kwa miaka kumi na tano imeendesha nchi kinyume cha sheria na demokrasia. sababu ya mazoea na kulindana matokeo yake ndio haya. Kila aonyeshaye ukweli kati yao anasurubiwa na hili ni Tatizo kuu. Kama Raisi aliposema leo Lema si adui imechukua miaka miwili baada ya kuona wana ushahidi. Wangapi wameumizwa na wangapi wamepotea, wangapi wamekufa. Na hata baada ya kuyajua yote haya nyie watu bado hamjaamka kielimu kuuona ukweli. Ni shida tupu sababu umaskini wa nchi ni nyinyi mnaouchgia.Elimu na kiwango cha elimu duni, woga, kulaza mwili na akili kutafuta utajiri wa haraka bila hekima. Fukara wa kufikiri akipata pesa na nguvu kinchi matokeo ndo haya. Itachukua muda kwa Watanzania wengi kuyaelewa haya.
ReplyDeleteTatizo, hata ukimshika mwizi akiiba, atakana. na uliyemshika utakwenda jela.
ReplyDelete