Hii Hapa Video ya Kijana Aliyejirusha Ghorofani Kama Mchezo Lakini Akaumia Vibaya na Kufariki Dunia

Ruzo Boniface Amlima amefariki dunia baada ya kujirusha toka ghorofa ya 13 wakati akizindua mchezo wa kujirusha toka ghorofani.

Huu ni mchezo mpya hapa Tanzania na aliyefariki ndiye kiongozi muasisi wa mchezo huo.

Na kwa waliobahatika kuona kwenye tv hakukuwa na maandalizi yoyote Yale, yaani ni kama jamaa aliamua kujiua mwenyewe, nimeshangaa Sana.

Angalia VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad