Hisia zangu...Diamond na Ali Kiba Mmefanya Biashara Nzuri Sana Kwenye Hili Bifu Lenu.....

Nakumbuka Kelele za Mashabiki zilikuwa nying sana kwanin Ally hajatoa nyimbo kwa takribani mwaka mzima toka alipotoka na ule mwimbo wa Aje akatoa na Remix ambayo haikuwa nzur sana kuliko ile ya kwanza
Kipind hicho Naseeb alikuwa anatoa nyimbo kila baada ya muda mfupi Mara Mdogo mdogo mara Salome akaja akafanya na Gwiji wa Rnb Neyo na ile Marry me hakika alistahili pongezi kwa jitihada za kutanua muziki wetu wa bongo flava kwenda Wordwide
Mwaka mpya ukaanza Ally bado alikuwa yuko kimya tu zaid ya kusikika kwenye nyimbo za wasanii wenzie kama Baraka na Mr Blue japokuwa bado hakukidh hitaji la Mashabiki wake.
Ally yuko chini ya Rockstar na ni mmoja wa Director wa hyo Kampuni, Naseeb yuko WCB mmiliki na muanzilish wa hyo Lebo akiwa na wasanii wake Lavalava Mavoko Rayvanny na Harmonize nk.
Mara tukasikia Fiesta inakuja hii ilichelewa ila Hisia zangu zinasema baada ya ule mgogoro wa wale watu wawili kusuluhishwa so wakapata nguvu ya Kurudsha upya Tamasha

Sasa hapo ndipo Biashara ilipofanyika kwa hisia zangu

Naseeb akatoa diss track kwenye nyimbo ya Fresh Remix,
Ally akajibu kwa Tweeter akamuita mtu Malikia wa Nguvu na mengneyo
Naseeb akarud tena na Diss track akamuhusisha na Omari Pia
Moto ukazid kuwaka na hapo ndio Omari nae akachafua hali ya hewa
Kipind wakiwa mdomon kwa Watu Ally akaamua ku release Seduce me so nyimbo inatoka na watu tayar vichwa vimewaka moto kwa Bifu lilitongenezwa
Kesho yake Naseeb nae akatoa Zilipendwa moto ukahamia You tube kwenye kushindanisha Views ambako mwisho wa Siku Ally naweza kusema alishinda hii Vita

Kwanin hii biashara imekuwa nzur kwao wote
Ally amerud kwenye midomo ya watu na amerud kwenye Tamasha akiwa na nguvu ya nyimbo mpya so ameshinda kwa upande wake
Naseeb hawez kushirik tamasha kwasababu za mikataba ila Mavoko, Rayvany na Harmonize wako kwenye Tamasha ambapo kwa WCB ni mafanikio makubwa kibiashara so Naseeb nae ameendelea kushinda kwa upande huu.

Mwisho wa siku Team zinaendlea kupigana Mitandaon kipind wao wanaendlea Kutia pesa Mfukoni

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad