Htimaye Mashinji Ajisalimisha Makao Makuu ya Polisi Dar

Htimaye Mashinji Ajisalimisha Makao Makuu ya Polisi Dar
Habari nilizozipta muda huu ni kwamba Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vincent Mashinji, akiambatana na wasaidizi wake kutoka Makao Makuu ya Chama hicho, amewasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es Salaam.

Dr. Mashinji amefika Makao Makuu hayo kuitikia wito wa Jeshi la Polisi uliotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto, kuwa anatakiwa kufika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad