Huddah Amchana Diamond, ‘A King Lion Without a Heart for Others is Called a Pus*y’

Diamond Platnumz ni kama centre ya ubuyu Bongo. Mrembo wa Kenya Huddah Monroe ameonekana kuwa upande wa adui yake Zari The Bosslady katika sakata zito la Diamod kuzaa na Hamisa Mobetto.

Baada ya bosi huyo wa WCB kuonekana kuishinda kwa asilimia kubwa vita ya usaliti kwa kuzaa nje, kupitia mtandao wa Snapchat, Huddah ameamua kumshushia maneno mazito msanii huyo. Haya ndio maneno aliyoandika Huddah kwenye mtandao huo.


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. that´s true Hudaah.

    ReplyDelete
  2. kabisa hata hivo ni zaidi ya pussy na wala hana haya na dada ke wanatapika hakafu wanarudi kuramba esma leo hamisa kawa mbaya na unajidai humtambui tena just because unaogopa kufukzwa na daimondi maskini ya mungu musio jijua wa kujitambua na huyo zari also so cheap wee mwanaume anakusaliti anakudanganya na ukajifanya mwanamke jasiri ukatangaza kuwa i ask daimond more than 1000 timea he say mtoto sio wa kwake keo anakuja unamkubali lol we pia ni pussy

    ReplyDelete
  3. tena mipussy waliokosa haya wanafata hela hao hamna mapenzi wala nini

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad