Huyu Hapa Mbunge Aliyetaka Wabunge Wanawake Kutoa Ushahidi wa Wanaume Waliotahiriwa Wanavyonogesha Tendo la Ndoa

Huyu Hapa Mbunge Aliyetaka  Wabunge Wanawake Kutoa Ushahidi wa Wanaume Waliotahiriwa  Wanavyonogesha Tendo la Ndoa
Mbunge wa Konde, Khatibu Saidi Haji (CUF) amezua vicheko bungeni baada ya kuuliza swali ambalo linalohoji tafiti zinaonyesha kwamba wanaume waliotahiriwa wanakuwa active zaidi na wananogesha zaidi yale mambo (mapenzi).

Mbunge Khatibu ameuliza swali hilo leo bungeni mjini Dodoma, ambapo spika Ndugai alipinga kuwa hilo sio swali “hilo nalifuta sio swali sio swali” amesema Spika Ndugai.

“Tafiti zinaonyesha kwamba wanaume waliotahiriwa wanakuwa active zaidi na wananogesha zaidi yale mambo, Je Mhe. Spika katika hali hiyo wabunge wanawake kupitia bunge hili mtoe kidogo ushahidi wa haya wanaume waliokuwa hawajatahiriwa waige mfano huo?

alihoji Mbunge Khatibu.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiii konde ndiyo iko wapi??
    Je hawa ndugu zetu WA konde wakoje? Kama ndugu mbynge huyu...!!!
    Naomba nitaarifiwwe hii KONDE ulipo

    ReplyDelete
  2. Khatbu Saidi Haji.
    Jina lako zuri.
    Afya yako PIA inaelekea kuwa nzuri
    Lakini nashindwa kujua kuwa we Ni mbunge!!
    Na Hilo jumbo lako liko wapo?
    Na wapiga Kira Wako WANAKUPOKEAJE KTK KUTATUA KERO ZAO?
    AU NI JIMBO LA KINA MAMA NA WADADA??? NA WANAHITAJI VILE...
    WAAMBIE WAPO MARIJALI MSIWE NA WASIWASI WANANGOJA IDHINI TU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad