Kufuatia kuvunjwa kwa makubaliano ya kimkataba kati ya serikali ya Tanzania na ACACIA, hatimaye kampuni hiyo ya uchimbaji madini imeanza rasmi taratibu za kuukabidhi mgodi wa dhahabu wa Buzwagi baada ya kuwa na nia ya kutokuendelea na uwekezaji katiaka mgodi huo.
Taarifa zaidi zinasema hatua hiyo imekuja baada ya ACACIA kuamua kwenda mahakama ya kimataifa kudai fidia baada ya serikali kukiuka mkataba kati yao.
MWANANCHI NEWS PAPER
Mawakili wa serikali kaeni mkao wa safari za nje na makabrasha!
Haswa.. Tuliyajua haya na kuyategemea. Ardhi Ni yetu. Mali Ni yetu. Haitokuwa na Taifa ikiwa hatufaidiki nayo. Tutampa mwenyr Nia njema ikiwa sisi wenuewe tutadhindwa. (hatudhindwi)
ReplyDeleteTutataifisha vyote kea deni la malimbikizo na udanhanyifu wao hawa matpeli akasia Labda baliki Ata lets mwi gine mpya WA asilimia 51% Tanzania na hiss asilimia 49% atawagawia kumi kimia au ishirini na moja. Tumechoka kuibiwa hapa tosha RIBITI TU
Haya yote ni Maamuzi Tarajiwa....!!!
ReplyDeleteHaya Ni tikisa Kibiriti katika mlolongo wa majadiliano hatua ya Mwanzo.
Hatutopendelea haya Mazungumzo yawe ya Mitandaoni au Runinga au Magazetini.
Wao wanajua wanakifanya ni nini.
Na sisi tunajua tunalolitaka ni Lipi..Na pia tunafahamu MBINU ya Kutumia ni IPI...!!!
Tuna Jopo la Wazalendo Mahiri katika mazungumzo yanayoendelea ambayo hayajamalizika.
Akasia ni lazima wajihami kwa wadau wenye hisa zao ili waweze kuweka mazigira elekevu ya kujihami (Hayo hayatuhusu sisi na hatungependa kuyaingilia)
Tafadhalini wana Mitandao na wasemaji ambao wana muono hafifu wa kuonyesha kwamba Ajira zitapungua kwa Mtanzania (Msijidanganye au mkatumiwa kimakosa na kuleta picha ya ndivyo sivyo)
Credibility and Trustworthy ya hawa Jamaa is diminishing, hence the projected margin of profit toka shamba la bibi lisilokuwa na ulinzi na watu wamelala. ( Hayo yamekwisha kwa Awamu hii Kabambe)
Imani tunayo kwa Kabudi na Timu yake ikimsaidia Mkuu wety teule.
Tunaomba Ustahamilivu na Uelewa katika Suala Zima na siyo Patching Hazzy Pictures.
TUKO KAZINI WAKATI WA KAZI KATIKA KIPINDI CHA HAPA KAZI. NA TUNACHAPA KAZI.
MUNGU ISALIMISHE NCHI YETU KWA HAWA MAPAPA WASIO NA HURUMA KUTUIBIA MIAKA NENDA MIAKA RUDI.
Ndugu zangu, na wananchi wote kwa ujumla. Hii iniaumiza Roho zetu na Kuleta Huzuni katika Mioyo yetu.
ReplyDeleteInaleta fikira za kuangalia uongozi wote uliopita toka tulipo pata Uhuru mpaka leo.
Na Dosari ni dhahiri zimeanzia kwa Mbamba Bey... Lakini Mungu kazipokea Dua Zetu na kujibu maombi ya Sala Zetu.
Leo Amekuja Magufuli na Nia Njema na Uchungu wa kuiona nchi yetu na watu wake kuwa Duni.
Haiwezekani kwa watendaji tuliowaamini kufanya khiyana Dhidi ya Taifa na Majukumu tuliowapa kuyatekeleza na wakajali UBINAFSI.
Yunajiuliza je kwa sasa hatua gani tuichukue Dhidi yao na Kurekebisha Mishahara na Kusubsidize essential commodities and services ili watu waweze kuyamudu maisha na kuwa na Roho ya kutosheka badala ya TAMMAAA.
Tukumbuke sisi wote kila mmoja wetu anapaswa kuwa MUADILIFU KATIKA NAFASI YETU ALIYOPEWA KIUTENDAJI NA TUMUOGOPE MUNGU KUNA SIKU TUTAULIZWA NA MALIPO YATATOKEA HAPA HAPA DUNIANI.
TUPENDANE NA TUWE WAZALENDO KATIKA NYOYO ZETU.
LEO TANZANIA SI NCHI YA KUWA HAPA ILIPO.
TUMUOMBE MUNGU MAGUFULI NA TUMPE USHIRIKIANO UNASTAHIKI KATIKA KURUDISHA TAIFA LETU MAHALI PAKE.
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.