Je Unajua Kuwa Nyama ya Nguruwe ni Hatari kwa Afya Yako?

Je Unajua Kuwa Nyama ya Nguruwe ni Hatari kwa Afya Yako?
Nchini Tanzania nyama ya nguruwe ni maarufu katika maeneo mbali mbali ya starehe na imepewa majina mengi ,kama vile mkuu wa meza, kiti moto na mengineyo mengi.
Hata hivyo utafiti wa kisayansi kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine ( SUA), umebaini kuwa walaji wa nyama ya nguruwe wako katika hatari ya kupata magonjwa kama vile kifafa kutokana na mnyoo Tegu uliopo kwenye nyama ya nguruwe.
Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na mtafiti wa magonjwa ya binadamu na wanyama Dkt. Boa Mathias Emanuel kutoka chuo kikuu cha SUA, na kwanza amemuuliza ueneaji wa ugonjwa huu.

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WAAMBIENI.
    ALLAH AKIKATAZA KITU MUKUBALI.SIO MFANYE JEURI

    ReplyDelete
  2. Sio kila tafiti inaukweli, mi pia nimesoma SUA na nnaweza sema sijawahi ona au kuthibitisha madhara haya yanayotajwa humu. Waliofanya tafiti watupe na vivid examples za watu walioathirika. Yes nnakubali nyama ya mnyama yeyote ambayo haikutayarishwa vizuri toka kwenye ufugaji mpaka mapishi inaweza kuwa na madhara. They should b more specific

    ReplyDelete
  3. Nyama ya Nguruwe ni hatari hata watafiti wa nchi zilizoendelea walitoa makala yanayothibitisha yakuwa nyama ya nguruwe ina minyoo ama worms iliojizika ndani ya nyama hiyo ambayo ni hatari kwa afya ya mwanaadamu.

    ReplyDelete
  4. Wewe kula tu kama hayajakupata madhara basi Iko salama ila kwa yule ambae amepata madhara Kupitia mnyama Huyo basi ACHA na waelimishe wengine juu ya athar zake. MAANA KUNA WATU NI WABISHI HATA KWENYE AFYA ZAO WANACHOJALI WAO NI LADHA YA MDOMONI TU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad