Jirani Yangu Ananiomba Nimpige Picha Akiwa Uchi Mara Kwa Mara...

Sisi ni majirani tumetokea kuzoeana tu kidogo kwakuwa mwenzangu  yeye ni mwenyeji mimi nimemkuta tu hapo nilivyo hamia, lakini naona kama kuna mazoea fulani ya ajabu, hii ni mara ya tatu huyu dada ananiomba nimpige picha tena akiwa amevaa kiajabu ajabu, siku nyingine anadiriki hata kunigongea chumbani kwangu ili nitoke tu nimpige picha halafu aendelee na shughuli zake...leo Kaniomba nimpige akiwa na chupi tuu kitandani kwake sasa imekuwa kero Simuelewe kabisaaaa Wadau..

Naomba Ushauri

Ray


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad