Kwa nini Alikiba Hapati offer za Matangazo ya Makampuni Makubwa Kama Diamond platnumz?

dIAMOND PLATNUMZ
Nnje ya mziki biashara ya matangazo kwa makampuni makubwa imekuwa inalipa wasanii wengi na hivi majuzi Diamond amevuta mkwanja wa Billioni 1 kukitangaza kinywaji cha ufaransa cha Bllaire

Lakini Kng Kba hapati offer za matangazo makubwa kwa nini?

Hana mvuto au hana Mnagement nzuri inayomuunganisha na makampuni?

Na kama hataki pesa ndogo kutoka kwa makampuni kwa nini bado anapiga show za bei raisi za fiesta na zile za vichochoroni za Cub za Uaya?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad