Manara Amelaani Shambulio Alilofanya Chirwa Asema Huu ni Ushamba! Tuheshimu Taaluma za Watu Umaarufu Wetu ni Kinyesi Tusiutumie Vibaya

Manara Amelaani Shambulio Alilofanya Chirwa Asema Huu ni Ushamba! Tuheshimu Taaluma za Watu Umaarufu Wetu ni Kinyesi Tusiutumie Vibaya
Afisa habari wa Klabu ya Simba Haji S Manara amelaani kitendo cha Shambulio lililofanywa na mchezaji wa klabu ya Yanga Obrey Chirwa la kumshambulia muandishi wa gazeti hapa nchini aliyekuwa akitekeleza wajibu wake.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Manara amekitafsiri kitendo kilichofanywa na mchezaji Chirwa kama ushamba na kutaka kilaaniwe na watu wengi.
"Huu ni ushamba!! tunapaswa kuulani wote, tuheshimu taaluma za watu, umaarufu wetu kinyesi tusiutumie vibaya" ameandika Manara.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad