Maneno ya Godblee Lema Baada ya Kukamatwa Msigwa 'Msiogope Baada ya Giza Nene Asubuhi Utokea'

Maneno ya Godblee Lema Baada ya Kukamatwa Msigwa 'Msiogope Baada ya Giza Nene Asubuhi Utokea'

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema ameeleza baada ya Mbunge wa Iringa Mjini kukamatwa jana wakati akiwa katika mkutano wake katika kata ya Mlandege Manispaa ya Iringa.

Lema kupitia ukurasa wake wa Twitter baada ya mbunge huyo kukamatwa amesema kuwa wasiogpe baada ya giza nene asubuhi hutokea.

Msigwa amekamatwa na Polisi huko Iringa na kushushwa kwa nguvu jukwani ktk Mkutano halali. Msiogope baada ya giza nene asubuhi hutokea!

Msigwa alishushwa jukwaani kwa nguvu akiwa anahutubia mkutano katika kata ya Mlandege huku akituhumiwa na kosa la uchochezi dhidi ya vyombo vya usalama.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad