Manji Aonyesha Mahakama Uhibitisho wa Dawa Alizokuwa anatumia

Manji Aonyesha Mahakama Uhibitisho wa Dawa Alizokuwa anatumia
Mfanyabiashara Yusuph Manji, leo Jumatatu amepanda kizimbani kujitetea katika shtaka linalomkabili la matumizi ya dawa za kulevya ambapo akiongozwa na Wakili wake Hajra Mungula.

Manji ameionyesha Mahakama udhibitisho uliotumwa na daktari wake kutoka Marekani kwa njia ya baruapepe wa aina ya dawa alizokuwa akitumia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad