MASKINI Zitto Kabwe Afunguka Haya Kwa Uchungu Baada ya Tundu Lissu Kupigwa Risasi

Kauli ya Zitto Kabwe Baada ya Taarrifa ya Lissu Kupigwa Risasi
Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini Mhe. Zitto Zuberi Kabwe amewataka wananchi kusimama imara na wasikubali kabisa kuruhusu siasa za mauji kupata nafasi nchini Tanzania.


Zitto ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa facebook mara baada ya kutokea taarifa ya kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu na watu wasiyofahamika.

"Mbunge mwenzetu wa Singida Mashariki amepigwa risasi nyingi na watu wasiojulikana. Kakimbizwa hospitali Dodoma.
Nchi yetu imefungua ukurasa mpya. Wananchi tusimame imara tusikubali Kabisa kuingia kwenye siasa za namna Hii. Mola amponye ndugu yetu", ameandika Zitto.

 Mhe. Tundu Antipas Lissu amepigwa risasi kadhaa mwilini mwake akiwa nyumbani kwake Dodoma eneo la 'area D' na watu wasiojulikana.


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zitto kuna unachojua labda, kwa nini haraka haraka uhusishe shambulio hilo na siasa? Chunga sana kauli, ulimi huponza kichwa.

    ReplyDelete
  2. Jamani, nani asiyejua ukweli mpska unamwambia Zitto achunge ulimi unaonekana ni mwanasiasa pia, , au usalama. Imetoa tishio kwa Zitto. Nawe labda unalijua hili. Kwa nini kuogopeshsna badsla ya kusema ukweli uliopo.ukijua wazi Lisu katishiwa mara nyingi na watu wsliomba kumuua na wskuu wa nchi wamekaa kimya, polisi kimya, Ccm kimya. Kama si siasa ni nini sasa.kwa nini kuogopana na nchi inapasuka wazi kila mtu anaiona. La kuficha lipi.

    ReplyDelete
  3. Heeee....!!! Zito huyu.
    Uzuri anajua mbinu zilizomtoa chdema na mbinu za kuuliwa ndiyo walisha mtokea huko.
    Anaweza kulisaidia serkali ili kuweza kujua.
    Power and popularity structure and struggle within CDMATATUSAIDIA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad