Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea Augua Ghafla Apumzishwa Kwa Uangalizi

Mbunge wa Ubungo Augua Ghafla Apumzishwa Kwa Uangalizi
Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea ameugua ghafla na kupumzishwa katika Zahanati ya Bunge baada ya kujisikia vibaya.

Mbunge wa Jimbo la Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea .
Saed Kubenea leo alienda Mjini Dodoma kwa ajili ya kuripoti bungeni lakini kwa bahati mbaya alijisikia vibaya na kuelekea katika Zahanati ya Bunge ili apatiwe matibabu.

Kubenea amepumzishwa katika Hospitali ya bunge mjini Dodoma japo mpaka sasa bado haijafahamika nini hasa kinachomsumbua.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jeuri nyingiiii, afya mgogoro............

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad