Mobetto Amekosea Kulala Katika Kitanda Cha Mwanamke Mwenzake Alitakiwa Kuwa na Huruma -Davina

Mobetto Amekosea  Kulala Katika Kitanda  Cha Mwanamke Mwenzake Alitakiwa Kuwa na Huruma -Davina
STAA wa filamu Bongo Halima Yahya ‘Davina’ amemlipua mwanamitindo maarufu, Hamisa Mobetto kutokana na ishu ya kuzaa na Mbongo Fleva ambaye ni mwandani wa Zarina Hassan ‘Zari Boss Lady’.

Akizungumza na Star Mix kutokana na sekeseke hilo baada ya mwanamuziki huyo kuweka wazi kwamba ni kweli mtoto huyo ni wake alisema, kitu  ambacho anakiona wote wawili wana makosa, iweje Mbongo Fleva huyo alale na mtu mwingine kitanda anacholala na mwanamke wake, pia kwa nini Mobetto alikubali kulalia kitanda hicho bila huruma kwa mwanamke mwenziye.

“Hili swala kilichonifurahisha ni baada ya huyo mwanaume kukiri kumzalisha Hamisa, lakini nikiongea kwa kumshauri kama mwanamke mwenzangu, hata kama alikuwa naye hakupaswa kukubali kulalia kitanda kimoja,” alisema.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wahenga walinena ukiona mwenzako ananyolewa tia kichwa chako maji

    ReplyDelete
  2. haaaaaaaaaaaaaa mwambiye yake yanamshinda


    ReplyDelete
  3. Hakuna cha huruma hapo, mla vya wenzie na vyake pia huliwa

    ReplyDelete
  4. kwanza kumbe hamisa alikuwa mpenzi wa diamond tangu hata hawajawa maarufu kwa hiyo hapo dimonde amepita kooote akaona kumbe misa ndio kiwango ndio maana akarudi tusubiri ndoa tu hapo,""mama mwenye nyumba kiruuuu""

    ReplyDelete
  5. ya kwako yana kushinda ulikuwa unataka alale nae wapi ampeleke tandale au think before you limp second thing mind your own bussiness alale kitandani alae mkekani inawahusu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad