Mrembo Flaviana Kakasirishwa na Wanaomsema Vibaya Kisa Mwembamba na Amekondeana

Mwanamitindo Mtanzania anayeishi na kufanya kazi Marekani Flaviana jana September 12, 2017 alitoa ya moyoni kwenye akaunti yake ya Instagram kuhusu watu wanaomsumbua kwa kuzungumzia mwili wake ulivyo mwembamba na kumwambia awe anakula ili aongezeke.

SIKILIZA HAPA:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad