Mrembo wa Picha za Utupu Agness Amtolea nje Duma..Adai zile Voice Note ni Utani

Mrembo Agness amemkana muigizaji wa ‘Siri ya Mtungi’ Duma kwa kudai hawana mahusiano ya kimapenzi na bali  ni marafiki.

Akiongea na Bongo5, mrembo huyo amedai kuwa wao ni marafiki  wakaribu na ila ni mwanaume mwenye vigezo vya kuwa naye.

“Am not sio wapenzi ni marafiki tu wakawaida na zile voice notes ni mimi kweli ila ilikuwa utani,” amesema mrembo huyo amabye amekuwa akiweka picha zake za utupu katika mtandao wa Instagram.

Pia akaongeza kuwa Duma ni mwanaume hivyo anaweza akawa  naye katika mahusiano ya kimapenzi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad