Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa amesema anashangazwa na viongozi wa dini kukaa kimya juu ya kujeruhiwa kwa Tundu Lissu (Mbunge wa Singida Mashariki).
Msigwa ambaye yuko Nairobi na viongozi wengine wa Chadema, waliomsindikiza Lissu aliyepigwa risasi na watu ambao hawajafahamika akitokea bungeni ametuma kwenye Twitter kwamba anawashangaa viongozi wa dini kukaa kimya mpaka sasa.
‘’Inanishangaza kuona viongozi wa dini mpaka sasa wamekaa kimya juu ya kujeruhiwa kwa Lissu! Na mwenendo wa siasa za Tanzania!’’amesema Msigwa kwenye ujumbe wake wa Twitter
Msigwa Alia na Ukimya wa Viongozi wa Dini Sakata la Kushambuliwa Lisu kwa Risasi
3
September 09, 2017
Tags
wanaogopa wasije kuuwawa na watu wasojulikana.
ReplyDeleteNsigwa wewe mcchungaji.
ReplyDeleteVipi unataka na kuxhangabya siasa na Sini??
Au ndiyo......
Please Please MSIGWA / Godless Wema Do not Politicise the TL na Majambazi to Become a National Agenda.
ReplyDeleteThe Country Needs you for developmental Priorities and Non other than That.
If you find yourself Do not Fit Inn. The Door is Open Uanzishe Biashara Ya Mtori.
Wawaha Wakusaka Milimo Mkulu alibaho aiona Milimo . Zwalili Chilo Chanala Kwa Godibless.
Gwe Gwe Ubite Ukagone mdodo Ukusaka Mbeyu.
Godless Amka tena Amka sasa hii Sio Tanzania Ile iliyokuwa Inachezea .
Tumepata Jemedari tumpe ushirikiano na kama huwe Achia Kamba Vioja Vyenu Vinatukera na HATUVITAKI.
Chamani Kwenu Kuna Mchezo mnaofanya . Ambao pia mnauzoefu wa hali ya Juu.
Majaribio Kadha mlishafanya katika maisha ya viongozi hapo chamani na wengine mpaka Hayati Mama
zao walijua mtoto wake kauawa ndiyo baadae akatoka chamani na kufungua chama chake.
Na wengine wametafuta kiki na kujenga mazingira Muafaka wa kuwawezesha kuanzisha chama cha haraka kwa kuwapiku wakubwa nake wenye viti. ILA SUBIRA HAIKUWEPO ..... Wacheni haya na Muogopeni Bwana mwisho wa siku Majeluhi Mahututi... Nia ilikuwa NINI Chamani mna Mikakati ilipangwa wapi? Ben sanane kapotezwa alitaka kumpa sumu mwanachamani histolia inajirudia.
Waacheni wenye kazi yao wafanye Kazi ili tupate Majibu ya Kazi yao na uone .
KIKULACHO.......