Mwigulu, IGP Sirro Mmepinga Watu Kumuombea Lissu, Mnataka watu Wafanye nini ? – Mhe. Lema

Baada ya jeshi la polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam kupiga marufuku maandamano ya maombi ya kumuombea Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu.

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia mtandao wa Twitter, amemhoji Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba na IGP Simon Sirro kuwa wao wanataka watu wafanye nini?

Kupitia mtandao huo Lema ameandika:

Lissu amepigwa risasi nyingi ! Hasira zetu tumeamua kumweleza Mungu, lakini mnatuzuia , Mwigulu/ IGP Sirro mnataka watu wafanye nini ?
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tundu Lisu lazima aombewe lakini (Makanisani). Hili la CDM kutaka kufanya mikutano ya siasa kupitia dini ni upambavu kabisa. Waombe Misa makanisania. Wanasiasa acheni kuingila kazi za Wachungaji.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad