Akizungumza kwenye kipindi cha East Afrika Breakfast baada ya kuulizwa juu ya suala hilo, Injinia Makani amesema mifupa ya mijusi hiyo ni mikubwa sana kuisafirisha na pia imekaa 'delicate' sana, hivyo watafiti hao walishauri ni vyema waje wachimbe mingine ili ibaki hapa nyumbani, na sio kuirejesha mifupa hiyo.
Pia Injinia Makani amesema kuhusu masalia ya 'Dinosaria' waliogunduliwa mkoani Songwe hivi karibuni na kupewa jina la 'Songwenians shingopana', bado haijapata taarifa rasmi hivyo idara husika itafuatilia suala hilo.
Msikilize hapa chini
wakati wa kupelekwa haikuwa delicate, kurudishwa inakuwa delicate!!!
ReplyDelete