Ndugai Ameanzisha Sakata Lake ili Kuzima Sakata la Tundu Lissu Kushambuliwa kwa Risasi- Zitto

Ndugai Ameanzisha Sakata Lake ili Kuzima Sakata la Tundu Lissu Kushambuliwa kwa Risasi- Zitto
Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama Cha ACT Wazalendo Mh. Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa Spika wa Bunge Job Ndugai ameibuka sakata lake yeye ili kutaka kufunika nguvu ya wananchi kuhoji juu ya kupigwa risasi Mbunge Tundu Lissu.

Zitto Kabwe amesema hayo leo mara tu baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai leo bungeni kusema anauwezo wa kumzuia Mbunge huyo asizungumze bungeni hadi mwisho wa bunge hilo kwani Zitto hawezi kupambana naye.
"Nimegundua Spika Ndugai ameibua mashtaka yangu ili kufunika ufuatiliaji wa wananchi kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi. Nimeamua sitawapa hilo" aliandika Zitto Kabwe kupitia mtandao wake wa Twitter
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai jana aliagiza Mbunge Zitto Kabwe pamoja na Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea kufika kwenye Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ili kuhojiwa kutokana na kauli walizotoa hivi karibuni, jambo ambalo Zitto Kabwe anadai limeibuliwa kwa lengo la kupunguza nguvu ya wananchi kutohoji sakata la Tundu Lissu kupigwa risasi.


Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. zito acha kubwabwaja tunahitaji maendeleo kigoma, kwa nini kigoma inakuwa ya mwisho katika maendeleo? acha police wafanye kazi yao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe acha ujinga .zitto yuko sahihi .maendeleao Lilia kwa kiongozi wa nchi .mwache zito aseme

      Delete
    2. pumbavu hujielewi nahisi unajiharishia maana hapo ulipo unavalishwa pampasi kama mtoto mdogo - mshenzi mkubwa, maendeleo yataletwa kwa kubwabwaja???

      Delete
  2. Zitto huyu zitto
    Jamana kiki zimempiga chenga.
    Sasa anajLibu bahati yake .
    Sema amesha choka na posho Hana anajua feza za kigamboni itanidi aziludishe na esklo PIA alikulaga.

    ReplyDelete
  3. Watu wanauliwa ofisi zinachomwa wapumbavu mko kwenye mitandao kumlaumu zitto ngoja auliwe mamaako ndio utajua kama zitto anatafuta kik i

    ReplyDelete
    Replies
    1. wa kibiti mbona hamkutoka mapovu??????

      Delete
  4. Kibiti walikufa watu wangapi? Na shughuli ziliendelea na wabunge walivuta allowance zao kimyakimya. Leo Zito anataka hoja zote zisimame watu wawe wanaongelea Lisu.Bunge halifanyi investigation. Acha police wafanyekazi yao.

    ReplyDelete
  5. Jamani kwa upunguani unaanzaje?
    sASA KUNATOFAUTI GANI NA HUYU dOGO.
    HII YOTE ANAWASIWASI WA NSSF ZILE ALIZOCHOTA NA ESKLO MGAO NYAMAZISHA..
    TUNAMPATA HUYU ... NA UHAKIKI UNAKUJA SIKU ZA USONI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad