”Niliambiwa niko kwenye orodha ya watu watakaotekwa” – Zitto Kabwe

Moja ya stori ambayo imekuwa gumzo na ku-make headlines kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu ishu ya kushambuliwa kwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu September 7, 2017 akiwa nyumbani kwake Dodoma.

Sasa licha ya tukio hilo kuibua hisia za watu mbalimbali, leo Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amefunguka kuhusiana na list iliyotolewa na Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, na hofa waliyokuwa nayo Wabunge kwa sasa.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We we unatafita kiki
    Hizo SI ndio zako?
    Kuna mwenye akili timamu akajitakia Majanga.
    DONT TALK NONSENSE .
    Millard..!! Huyu mshokaji?
    Mbona unamoa Airtime kea upuizi...!!!

    ReplyDelete
  2. Vema ingezihifadhi hisia zako kuliko kuzisema watu wakajua ujinga wako.

    ReplyDelete
  3. Mimi nashindwa Kumwelewa Huyu Dogo...
    Yaani Akili zako zimekutuma umpigie Simu Millard nakuja akupe kipindi.
    halafu kirushwe ujioneshe ili sisi tukuone unazungumza...!!!
    inasikitisha ... cha zaidi kilicho zungumzwa... sijui kichwa au ndio mguuu.....!!!!
    Jito Uko vizuri wewe.
    Manake punguwani kawaida hajijui.
    Mpaka akianza kuzungumza utumbo watu ndiyo wanaanza kuona Tofauti....
    Hebu jitathmini hizo kauli zako.
    Millard. nakuomba uwe uzipitia zaidi ya mara 3 halafu unaangalia hii nitoe au la...
    Wewe unabrad inayo kuwa .... na hawa is diminishing brand rather Unawatolea NJE au Unampotezea.
    Jito alikuwa Miaka Ile.. Ameshapitwa na Wakati. (Japo hatakubali Ukweli ndio HUO HAUKANIKI)

    JIHESHIMU DOGO UHESHIMIKE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad