Nkamia Awasilisha Muswada Rais Kukaa Madarakani Miaka 7 Badala ya Mitano

Nkamia Awasilisha Muswada Rais Kukaa Madarakani Miaka 7 Badala ya Mitano
Soma Hapa Chini:


Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tunaunga Mkono hasa katika hiki kipindi cha Mchapa kazi JPJM

    ReplyDelete
  2. Kakosea mimi sikubaliani nae kwanini hakupendekeza miaka kumi 10? Miaka kumi ingekuwa safi kabisa kwa sababu miaka mitano au saba inawapa ushawishi vyama vilivyoshindwa uchaguzi kuendeleza harakati za uchaguzi tena kwa kujua kipindi hicho baina ya uchaguzi mwengine si kirefu na katika hali hiyo ndipo tunapojikuta nchi inakosa utulivu. Lakini miaka kumi kwa tamu moja kwisha matatizo baada ya uchaguzi na nchi na raisi na serikali yake watakuwa na muda wa kutosha wa utulivu wa kusimamia sera zao na kuijenga nchi.

    ReplyDelete
  3. Mie napendekeza rais akishinda iwe ka ndoa ya kikistro vile

    ReplyDelete
  4. Ndugu zangu Wazalendo wenzangu na Wananchi wenzangu.
    Nkamia amefanya la Maana kuwasilisha.
    Na sisi wananchi ... Kwa Utendaji wa Magu. Tusimpoteze baada ya miaka kumi.
    Magu tubadilishe katiba hata kwa Muda. Huyu ni wa KUMI mara MBILI.
    Nakubaliana na Wadau hapo Juu kwa kumi kumi.
    Bunge ambao ndio sauti zetu. TUNAWATUMA KULIPITISHA HILI LA KUMI KUMI.
    Ndugai baba tuletee huu muswada tuupitishe ikiwa ni Ombi to Kwetu WANANCHI.

    ReplyDelete
  5. kwanini isiwe 3 tuu au 2,miaka 7 ni kujifunga wenyewe na kujipa shida tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad