Nyambizi hiyo ya UB-II ambayo inatajwa kuwa katika hali nzuri iko mita 30 chini ya bahari nje wa pwani ya ubelgiji.
Video ya kwanza ya wanawake watumwa wa ngono yatolewa
"Nyambizi hiyo iko hali nzuri na tunaamini kuwa huenda miili yote bado imo," alise gavana wa West
Bw. Decaluwé aliwaambia waandishi wa hababri siku ya Jumanne kuwa eneo iliko nyambizi hiyo limewekwa siri kuzuia watu kulikaribia
Nyambizi 11 za Ujerumani kutoka kwa vita vya kwanza vya dunia zimepatikana katika maji ya Ubelgiji lakini chombo hiki kinatajwa kuwa kilicho katika hali nzuri zaidi.
Bomu kubwa la vita vya pili vya dunia kuharibiwa Ujerumani
Nyambizi za UB-II zilijengwa kati ya mwaka 1915 na 1916 na zilikuwa na uwezo wa kuzama hadi umbali wa mita 50.