Padri Mapunda: Wapinzani sio Maadui, Mfalme Suleimani Hakujifanya Mungu mtu. JPM ajifunze

PADRI Baptiste Mapunda ametaka JPM kutambua kuwa bila majadiliano na viongozi wengine wa vyama vya siasa vya upinzani, hatma ya nchi itakuwa mbaya sana siku zijazo.

Akizungumza katika Kanisa Katoliki Manzese, jimbo kuu la Dar es Salaam, Padri Mapunda alisema Rais JPM awe na busara na kufuata mwenendo wa Mfalme Suleimani ambaye katika uongozi wake alikuwa akiomba muongozo kwa Mungu na hakujifanya Mungu mtu.

“Hata Mungu aliwahi kukosolewa na Nabii Musa pale alipotaka kuwaondoa Waisraeli, sembuse binadamu tunaoishi na kufa?" Amehoji Padri Mapunda.

Source:Jamii Forums
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie nawe, hebu mpeni mapunziko raisi aijenge nchi, Sio kila baya kumtupia yeye, kwa kuwa anapambana na kutetea raslimali za nchi hii, hebu kwanza Tanzania tujitoe katika huu usingizi nasi tuonekane akili iPo, maanake nchi nyingi za Africa ni mwendo huu wa usingizi, si ajabu kuitwa watu wenye akili ndogo, Hata asivyoshughulika navyo navyo atabebeshwa tu, hiii ni nchi ina kila mabaya na mazuri. Kati ya hao mil 55 Wanaishi ndani yake

    ReplyDelete
  2. ajenge nchi au auwe watu. wee umechanganyikiwa kama le kunukaz

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ndio lekukaz. Mbona limekugusa sanaa, mpaka mishipa ya shingo inakutoka, au nawe ndio wale mafisadi papa, wa Taifa hili, au nawe upo katika megao wa Escrow, kama kote huko haupo basi kunna walakin mushkeli upo sehemu amabayo nayo Ina walakini ndio maana unatetea ujinga mpaka sauti yote haitaki kutoka na mishipa ya shingo imekushupaaa, kwa kutete maslahi yako, BASI HAPA HAPA KAZI TU

      Delete
  3. hayo maneno angesema shekh saa hizi kashachukuliwa na watu wasojulikana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. escrow hiyo!!!!!!!!!!!! Si mchezo

      Delete
  4. Escrow hiyo inamsumvua padili

    ReplyDelete
  5. Walitaka naye awe mmojawapo wa kundi lao, la kutufilisi wananchi wanyonge wa nchi hii, tuendeleage kuitwa masikini, na kuonewa huruma na kupevarmer misaada, na misaada yenyewe kwanza nayo ilikuwa inatiwa mifukoni, walaaa haiwafikii walengwa. Mmmmh inawezekana Escrow inamsumbua

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad