Petit man Atetea Ndoa Yake Azikana Picha Zake na Mobetto Zinazosambaa Mitandaoni
3
September 26, 2017
SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa picha mitandaoni zikimuonyesha mwanamitindo huyo akiwa katika pozi za mahaba na mdau wa muziki, Petitman Wakuache. Baada ya kuziona picha hizo Petit ameibuka na kutoa kauli nzito.
PETITMAN ANENA!
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Petit alipost picha akiwa na mke wake Esma ambaye ni wifi yake Mobeto, kwa sababu anazaliwa mama mmoja na baba mtoto wake. Na kuandika ujumbe ufuatao:
NENO LA MWANDISHI
Kila binadamu ana jana yake, leo na kesho ambayo ni fumbo, kwa sababu ameshasema kwamba picha hizo ni jana yake, ambayo haiuhusiani kabisa na leo yake. Basi ni vyema hao wanaohusika na usambazaji wa picha hizo, mkasitisha zoezi hilo, kwani Petit ni mume na baba wa familia kwa sasa.
Mobeto naye ana maisha yake mengine kabisa, kwa hiyo kuvujisha picha hizo kunaweza kusababisha migogoro katika familia hizi mbili ambazo zina uhusiano wa karibu.
Tags
mnafiki mmeshamjua na ndo anaezitoa hizo picha, Esma umemuweza Lednjaa anataka kukugombanisha na Hamisa kashindwa hajui plan yoote mliosuka ili Zari arudi kwa Dai na Hamisa anakula vyake kama kawa!
ReplyDeleteLednjaa na Halima mapengo lao moja, wamemtukana Hamisa sana cha ajabu na wao wameshatiwa na Domo zamani sana. wanafikri Domo atamuacha Hamisa kwa vipicha vya uswekeni? kashazaa na wala hawajaachana hiyo ni issue imetengenezwa ili Abduli Nassibu ajulikane ni mtoto wa Dai na Bi masumbuko kapigwa changa la macho! hahaha. jipendekezeni tuu. Petit mwenyewe kashamla kiboga Lednjaa.
ReplyDeletehuu ni ufitinishaji picha za miake kwend munazionyesga sasa ama kweli nyinyi ni vibaraka mbn yenu yanawashinda munapiteA musa kwa kutafuta ya miaka hio just because kutia watu roho mbaya wachukiane waacahane jamani sio vizuri huyu bi masumbuko mwwnye umri miaka 43 ndie anaewatuma kufanya haya yeye kawa kama paka pussy chini ya dai HAMISA MOBETO AMESHA ZAA TENS KITOTO KIZURI KITAMU HATA AMFUNGIE CHIMBANI MAWASILIANO YATAKUWEPO TU LIMAMA ZEE ZIMA HATA UMRI ANA DANGANYA MAMBO YA KITOTO KULIPIZANA
ReplyDelete