Polepole 'Kauli ya Kikwete ya Kutochukia Vyama vya Upinzani ililenga nchi Nyingine na si Tanzania'

Baada ya siku kadhaa zilizopita Rais mstaafu mh Kikwete baada ya kurusha jiwe gizan na kusema vyama vya upinzani sio maadui na hakuna sababu ya kuvichukia msemaji wa CCM ndug Polepole ameibuka na kudai kauli hii ya Kikwete alilenga nchi nyingine na si Tanzania! VIDEO:
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Whats your point. Unaijali nchi yako au. Ni wazalendo wa namna gani nyinyi kujali vyama na Watanzania.Sifa mnazipata nje ndani ya nchi uozo. Aibu gani kwa viongozi kama nyinyi.
    Mnaliangusha Taifa na watu wake kwa kukibeba chama ambacho ndio chimbuko la matakataka yote nchini.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad