Rais John Magufuli Atoa Tamko Tukio la Kupigwa Risasi Tundu Lissu

 Rais John Magufuli Atoa Tamko Tukio la Kupigwa Risasi Tundu Lissu


Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Du! hata haya haoni, eti anamasikitiko bulshiiiit. iko siku yatakufika na wewe na rafiki yako Mkapa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha upumbavu wako aibu iwashike nyinyi CDM, watu kibiti wameuwawa tena wengi lakini hamkutoa povu utafikiri hata roho hawana hao waliouwawa. jiulizeni huyo zito kabwe alitaka kufanywa nini wakati ameanza harakati za kugombea uwenyekiti CDM? huyo tindu lisu alikuwa kwenye harakati za kugombea uwenyekiti CDM na baada ya hapo alikuwa anataka kugombea urasi unafikiri hao ambao bado wana uchu wa madaraka watafanya nini??? msitake kutafuta mchawi wakati mnaye wenyewe na bado tutayaona mengi kutoka CDM. huyo saanane mpaka leo hawataki kusema ukweli na wanajua walipompeleka. UKITAKA CHEO CDM NA WAKATI SI MLENGWA WA KASIKAZINI JUA KASIKAZINI HAIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA. Mchungaji Mtikila yuko wapi?

      Delete
    2. Wapi CHACHA WANGWE?? chadema ndio zao, wananyongana kimya-kimya kisha wanaisingizia serikali........MKOME TENA MKOME KABISA. Kama serikali ingekuwa na nia hasa ya kumuua huyo tundu wenu ingeshindwa??? Kwanini wampige risasi hadharani wakati 'segerea' ndio nyumbani kwake. Hebu msitutoe kwenye reli kwa upumbavu wenu.....hovyo, mfyuuuu

      Delete
  2. Tamko ulilolitoa hadharani kwa watanzania wote kumwita ndugu Tundu lisu adui, madhara ndio haya. Maneno yanayotumika kama kiongozi mkuu na jemedari inabidi yaendane na wadhifa wa kazi uliyopewa. Mara baada ya tamko lako mtu alikuomba amuuuwe ulikaa kimya raisi wangu, wala polisi hawakufanya kitu. Chadema ilitoa ushauri kiulinzi, ndipo watakaopouliza, je wawe na jeshi na polisi wao wa kuwalinda, mliwakatalia. Nchi inapasuka. Kisa hasa ni kuteteana kwa mafisadi wakuu wa nchi kutokuchukuliwa hatua yoyote. Sasa tunakuomba, umeamua kuwachukulia hatua mafisadi ambao wametupeleka hapa tulipo, toa mapapa wote bila kujali vyeo wala kinga yeyote kwa mtu yeyote sababu hao ndio chanzo cha mmeguko huu. Tanzania ya amani sio hii tunayoiona. Hii ni zimbabwe. Unamajukumu yote tendea haki watanzania tafadhali na epusha hili na lisitokee tena. Umekabidhiwa madaraka na nchi hii tafadhali epusha huu ugaidi. Tafadhali.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Adui atabaki kuwa adui tu........kama kuna mtu aliomba amuue ulitaka JPM afanyeje?? kama unakumbu-kumbu nzuri, huyo tundu lisu alimtangazia 'vita' JPM mara tu baada ya kuchaguliwa kuwa rahisi wa TLS, mbona hamkutoa mapovu kumuonya?? KUNYA-ANYE-KUKU-AKINYA-BATA-KAHARISHA SIO?

      Delete
  3. Watendaji ni nyinyi wapigaji risasi ni nyinyi halafu mufanye uchunguzi yuko WaPo Ben uko wapi uchunguzi nchi inapotea munaingiza kwenye balaa kwa mikono yenu huu wakati mwengine sio ule Wa baba Wa taifa Wa kumuua karume,sokoine kukawa kimya tumieni busara viongozi kubalini kushindwa inapobidi kubalini kukosolewa inapobidi ubabe hautasaidia kuendesha nchi poleni watanzania kwa munakopelekwa amkeni musiendeshwe kibubusa nchi inatisha yamekua maisha ya wanyama ni bora kuliko yetu wanadamu wapi tunakwenda nani ataishi milele

    ReplyDelete
  4. Msiwe wepesi kuamini kuwa serikali inahusika. Mbona hakupigwa risasi tangu siku hizo? Tuanze kufikiria mbali haya mambo ya mchanga tutagombanishwa wenyewe kwa wenyewe hawa watu wanahesabu za mbali tukiwa wajinga tutaanza uana kama Iraq na Libya. Tuwe watulivu na tufikirie kila pande. Tundulisu ni Target nzuri kwa wanaotaka kuleta vurugu nchini. Na mungu atampa faraja apone kabisa kwa rehema zake. Na walilolikusudia halitakuwa. Tunakuomba Baba mungu mpe uzima.

    ReplyDelete
  5. Kwani waliokuwa wakiuwa wananchi kule kibiti ni serikali? Tumeshuhudia jinsi kijana mdogo alivyotimiza ukatili kule arusha kwa kuteka watoto na kuwaua . Kwa hivyo sio sahii kukimbilia na kusema serikali ndio iliyohusika na tukio la Lisu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na laiti kama yule kijana asingekamatwa na kusema ukweli, wangesema JPM na serikali yake ndio watekaji .........WANAJARIBU MUMCHAFUA RAIS WETU LAKINI WATASHINDWA NA WATALEGEA..........

      Delete
  6. Wapuuzi ndio watakaosema serikali ndio iliyohusika na kupigwa kwa Lisu lakini ukweli ni kwamba hata raia wa kawaida anaweza kutekeleza unyama huo kwani baadhi ya watanzania hawakuwa na kupendezwa na tabia ya kijinga ya Lisu ya kupinga wazi wazi jitihada zinazochukuliwa na watanzania za kuhakikisha Tanzania inaondokana umasikini badala ya kuendekeza siasa. Hata huo mchangiaji hapo juu aliesema Kwamba raisi Maghuful yatamfika kama yaliyomfika Lisu tungeomba vyombo vya usalama kumfuatilia hata kama yupo nje ya nchi kwani anahatarisha usalama wa nchi.

    ReplyDelete
  7. Wapuuzi ndio watakaosema serikali ndio 31st iliyohusika na kupigwa kwa Lisu lakini ukweli ni kwamba hata raia wa kawaida anaweza kutekeleza unyama huo kwani baadhi ya watanzania hawakuwa na kupendezwa na tabia ya kijinga ya Lisu ya kupinga wazi wazi jitihada zinazochukuliwa na watanzania za kuhakikisha Tanzania inaondokana umasikini badala ya kuendekeza siasa. Hata huo mchangiaji hapo juu aliesema Kwamba raisi Maghuful yatamfika kama yaliyomfika Lisu tungeomba vyombo vya usalama kumfuatilia hata kama yupo nje ya nchi kwani anahatarisha usalama wa nchi.

    ReplyDelete
  8. INAWEZEKANA KWA HISIA IKAWA NI SERIKALI LAKINI KWA UHALISIA HAKUNA ANAE JUA TUKIANZA KUBASHILI HAPA MTAPATA HATA WALE MSIOWATALAJIA,ILA KWA SABABU ALIKUWA ANAONYESHA ANAMKWARUZO NA SERIKALI WENGI TUTAHISI HIVYO.LAKINI HUENDA KUPITIA HALI HIYO WENGI WANAJIPENYEZA.LISU HUENDA IKAWA NI MTAJI WA WATU KISIASA.

    ReplyDelete
  9. Hahaaaaaaaaaa wenye akili na uzalendo wameelewa ila wapenda kiki ndio wanaotetea .tumeelewa

    ReplyDelete
  10. Bavicha wannaujua mchongo wote WA kumuhujumu lisu within the struggle of CDM yy kutaka kumpiku mwenyekiti wake.
    Ni lazima wasaidie upelelezi.
    Na hili walisha lopanga na kulisema palawanja hawa kina bawicha . WATATUELEZA MPAKA KIELEWEKE.

    ReplyDelete
  11. Walipouwawa kwa risasi viongozi wa CCM zaidi ya 30 kule Kibiti hakuna cha LHRC wala chadema mmoja alotoa japo pole ya kinafiki, leo kapigwa risasi huyo mmoja mapovu yanawatoka..... wakifika 30 je mtasemaje...........mfyuuuu kwani wale walouwawa Kibiti hawakuwa na roho? hawakuwa na familia? Mbona hamkusema kama ni serikali ndio inahusika.......msonyoooooo Mbowe anajua nini kinaendelea.......msituzuge

    ReplyDelete
  12. Chadema ni Balaa....!!! inafikia hadi ya kutaka kumpa kilema mwanachama mwenzao .
    Kisa.... Anampiku Mwenyekiti wake...
    Mtajieleza toka HAI mpaka Nyiramba.
    Mlijaribu kwa Maskini Jito akaenda kkukiki huko akti. Sasa huyu bado hajaanzisha chama kipya
    mnataka funga kazi. Haya Dlama ndiyo inaanza.
    Kwani mtigwa amesema nini huko Kihesa??
    Hisia zipo na Dalili ni Dhahiri.
    Cdedma mtatueleza!!!!! na Ben sanane pia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usimsahau na Chacha Wangwe walichomfanya, hata Zito Kabwe walimkosa-kosa kiduchu tu, alisalimika baada ya kuhama chadema.....kinachoendelea wanakijua, wametumia chance hii ya uropokaji wa lisu, kufanya yao....MUNGU ANAWAONA

      Delete
  13. Msiwe wepesi kuamini kuwa serikali inahusika. Mbona hakupigwa risasi tangu siku hizo? Tuanze kufikiria mbali haya mambo ya mchanga tutagombanishwa wenyewe kwa wenyewe hawa watu wanahesabu za mbali tukiwa wajinga tutaanza uana kama Iraq na Libya. Tuwe watulivu na tufikirie kila pande. Tundulisu ni Target nzuri kwa wanaotaka kuleta vurugu nchini. Na mungu atampa faraja apone kabisa kwa rehema zake. Na walilolikusudia halitakuwa. Tunakuomba Baba mungu mpe uzima.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad