Rose Ree Kajibu Kuhusu Wanao Sema Muonekano Wake..Kajibu Kama Huwa Anaendaga Kanisani Ama la?

Rapa wa kike kutokea The Industry, Rosa Ree ni miongoni mwa mastaa waliotoa burudani ya nguvu kwenye jukwaa la FIESTA 2017 Mwanza ambapo baada ya show, Ayo TV ilimnasa kupiga naye story na kufunguka alipoulizwa kuhusu wanaouzungumzia muonekano wake.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad