Gazeti la Mwana halisi limetakiwa na Serikali kupitia idara ya Habari maelezo kujielesa kwanini gazeti hilo lisichukuliwe hatua zaidi kutokana na kukiuka maadili na usiofuata weledi wa kitaaluma.
Mkurugenzi Mkuu wa idara ya habari maelezo na msemaji wa serikali Hassani Abbasi amesema gazeti hilo limekuwa likiandika habari ambazo zimekuwa zikikiuka misingi ya uandishi wa habari na kusema kuwa sheria za nchi na hata za kimataifa zinazohusu wajibu wa uhariri kwa taaruma hii.