Shekhe Aliesemekana Atasoma Albadiri Ahojiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Muheza

Shekhe Hilaly ahojiwa na kamati ya ulinzi na usalama baada ya kusemekana atasoma Alhul badr kwa wale wote walioshirikia kumshambulia Mh Tundu Lissu.
Akihojiwa na Clouds Fm, Shekhe Hilaly amekana kuhusika na jambo hilo na kuthibitisha kuwa asubui ya leo aliitwa kwenye kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Muheza.

Jahazi Clouds Fm.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad