Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuagiza kutafutwa kwa namna yoyote Mbunge wa Ubungo(Chadema), Saed Kubenea apelekwe kesho kwenye Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ili ahojiwe kuhusu kauli aliyoitoa ya kumtuhumu Spika kuwa amedanganya idadi ya risasi alizopigwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu.
Pia Spika Ndugai ameagiza Kubenea na Mbunge wa Kigoma Mjini(ACT Wazalendo), Zitto Kabwe kupelekwa katika Kamati ya Bunge ya Maadili na Madaraka kwa tuhuma mbili tofauti
Zitto anatuhumiwa kutamka kuwa Bunge limewekwa mfukoni na muhimili fulani, wakati Kubenea ni kwa kumtuhumu Spika kusema uongo wa idadi ya risasi alizopigwa Lissu.
Spika Ndugai ametoa maagizo hayo bungeni mjini Dodoma leo Jumanne.
ww Spika Ndugai usiwe mjinga wa akili na mpumbavu , mambo unayoyafanya kwenye bunge ni ya kijinga kama mtu aliyekuwa hana elimu, wacha ujinga hou , mshauri huyo mpumbavu mwezio Makufuli awache unyaruwanda wake , msipo muangalia atatutia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
ReplyDeleteyaani wewe anonymous wa 14.00 ni mjinga sana na huna adabu hata kwa wazazi wako huyo Rais Magufuli anaaingiaje hapo kwenye ujinga wako, wewe ndo mpumbavu wa kwanza ambaye haijawahi kutokea mpumbavu kama wewe usieelimika. acha ushabiki wako wa kishamba ambao mwisho wa siku unajileza vile ulivyo, chokolaa mkubwa usie na heshima na adabu. sura mbaya kufa hufi mshenzi wewe, na ukome kuwa unamuunguza Rais kwenye vitu ambavyo havimhusu.
DeleteUkitaka vita nenda kunakohusika, huku kwetu bado sana na utasubuli, kwanza inaonyesha wewe siyo Mtanzania
DeleteMagufuli ndio mkuu wa nchi na ndiye analitamka adharani kwambia huyu baba yako ( ndungai) awashughulikie wabunge sasa ww kama uelewi basi chukua kibunzi sokomeza mkunduni
Deletewe mjinga anony wa 15:05 yaani katika watu waliojaa matope mkunduni ni wewe na nahisi ulitoka sehemu ambayo si sahihi wakati wa kuzaliwa kwako na nahisi uliwashawahi kujisokomeza gunzi mkunduni ndo manaana umeandika kwa kumbukumbu ambayo ulishawahi kuifanya. mpyuuuuuuuuuu
Delete