Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaomba wabunge watoe nusu ya posho zao kwa siku kuchangia gharama za matibabu ya Tundu Lissu.
Ndugai amesema leo bungeni kuwa gari ya Tundu Lissu ilipigwa jumla ya risasi 28 hadi 32,lakini zilizompata Tundu Lissu ni tano ambapo zilimjeruhi tumboni na mguuni.
Lissu aliondolewa Hospitali ya General Dodoma Usiku wa kuamkia leo na kupelekwa nchini Kenya kwa Matibabu zaidi
Nia yako Ndungai ni Njema.
ReplyDeleteFikira pia ni nzuri. Ila sikubaliani na Udhalilishaji wa Huduma zetu za Afya na Vifaa vyetu vya Tiba katika Hospitali zetu . Hasa hapa Makao Makuu (Dodoma)
Lisu na wengine kama lisu...Matibabu ni hapa hapa nchini. Hajazidi kitu na Hana Roho tofauti.
na kwa kujitakia kuondoka isiwe ndiyo hoja ya kula posho ambazo walipa kodi wanatoa kuleta Maendeleo.
Lisu anajulikana na kinacho endelea pia kinajulikana within Power and popularity struggle within the Party. yalisha mtokea jito akataka kuuwawa huyu wamejeluhi.
Anaetaka mchango wa HIARI atowe na asie taka yuko Huru Kuto changia.
KIKULACHO.........
mbona umehamaki kama wewe ndo mtoaji mchango Anony 13.05. subiri yakufike ndo utajua umuhimu wa kuchanga! jifanyeni wazuri japo kwa kuwalaghai watz.
ReplyDelete