VIDEO: Paul Makonda Hataki Mchezo.. Atenga Eneo Maalumu la Kuuzia Magari Dar es Salaam

Akiwa katika Wilaya ya kigamboni leo Septemba 11, 2017  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema magari yote yatauzwa katika eneo la maalumu ambalo limetengwa huko kigamboni, na ifikapo Mwezi Januari mwaka 2018, leseni zote za biashara za uuzaji wa magari zitapatikana ndani ya wilaya ya kiamboni na hivyo amewataka wafanya biashara wote wa magari mkoani humo kuanza kufika ofisini kwake na kumpa mahitaji yao katika eneo hilo.

VIDEO:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad