VIDEO: "Tundu Lissu Amevunjwa Miguu yake, Nyonga na Mkono"- CHADEMA

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji amesema mwanasheria mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu ameumizwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili wake na kwamba alipigwa risasi nyingi tofauti na risasi tano zilizoelezwa.

Dk Mashinji amesema Lissu amevunjwa miguu yake, nyonga na mkono wa kushoto, jambo ambalo linawapa madaktari kazi kubwa na kuimarisha afya yake.

Tazama Video:

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JOHN POMBE NA IGP SIRO NDO WALIOMPIGA RISASI LISU , HIZI SINEMA ZAO WANAZOHEZA ZA WATU HAWIOJULIKANA , SIO NGENI SANA KWA ZANZIBAR, KULE WANAUWA MAPADRI WANAMWAGIYA WATALII NDINDI KALI, WACHOMA MOTO VITUO VYA RADOI, CHA KUSHANGAZA ZAID HAWA WATU WAIOJILIKANA WANATEMBELYA GARI ZA SERIKALI, WANACHAMA OFFICE NYUMBA MASHAMBA WANAPIGA RISASI WATU WENGI WATAPOTEYA BILA TAARIFA YANI KISHA MTU ANACHIWA HAMNA KESI, MANENO HAYA YA KISHENZI, WANAYOPENDA KUYATUMIYA KILA MAHALA ETI KUNA WATU WAIOJULIKANA NDO WANAFANYA MAMBO HAYA, SHEZIII KILLER CHAMA CHA MAJAMBAZI , CCM WESENDGE MAGUFULI NA SIRO KAMA HMANA HOJA MSIWAUWE WATAZANIA WASI NA HATIYA , KAMA MUMESHIDWA KUENDESHA NCHI , NENDENI MAKAUZE MATAKO YAKU MPATE ELLA YA KULA , SHEZII

    ReplyDelete
  2. Mtoa mada wa hapo juu unaesema Maghuful ndie aliempiga risasi Lisu hapana shaka yeyote wazee wako walipokuwa wanafirana walikuwa wamelewa gongo ndio ukapatikana wewe. Wacenge wa mwamsho wanapotoa maoni yao wala hawajifichi. Mambo ya kuuliwa na mapadri na kuchomwa makanisa pamaoja na kumwagiwa tindi kali kwa watalii na viongozi wa CCM kule Zanzibar ni kazi ya kundi la mwamsho linalofadhiliwa na CAFU. Lisu kapigwa na hakuna Mtanzania mwenye kuipenda Tanzania angependa yamfike yaliyomfika Lisu. Ila Lisu alikuwa akialika maadui kuja kumshambulia kwa maneno yake ya maudhi pengine bila yeye mwenyewe Lisu kufahamu au kama watu wengi wanavyosema part of Lisu brain is mental retardant. Asilimia 85% ya mapigano baina ya mtu na mtu hata taifa na taifa jengine pengine hata wanyama huanzia katika majibizano na mabishano yanayotoka katika kauli za hovyo na Lisu amejiliwa kuwa na kauli za kejeli na hao aliokuwa anawatolea kejeli sio viongozi wa nchi tu peke yao waliokuwa wakikwadhika bali mashabiki na wapenzi anaokikangana nao kisiasa ndio waliokuwa wakikerwa zaidi. Siku zote wanaoanzisha fujo na watu kuuwana sio wachezaji au kocha bali mashabiki ndio wenye madhara zaidi.



    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad