Wanasheria wa Uingereza Watuma Waraka Mzito kwa Rais Magufuli Baada ya Tukio la Kushambuliwa kwa Risasa Tundu Lissu

Wanasheria wa Uingereza Watuma Waraka Mzito kwa Rais Magufuli Baada ya Tukio la Kushambuliwa Risasa Tundu Lissu
KUFUATIA matukio ya kukamatwa mara kadhaa na baadaye kupigwa risasi na watu wasiojulikana kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Chama cha Wanasheria cha Bar Human Rights Comitee cha nchini Uingereza, kimetuma waraka mzito kwa Rais wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Sehemu ya waraka huo imelaani vikali matukio hayo na kutaka chombo huru kipewe nafasi ya kufanya uchunguzi. Nakala ya waraka huo imetumwa pia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, Spika, na Jaji Mkuu wa Tanzania.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad