Watu Hawa Wanapambana na Hali Zao, Waliniuliza Bomberdia Ndo Nini?- Nape

Watu Hawa Wanapambana na Hali  Zao, Waliniuliza Bomberdia Ndo Nini?- Nape
Mbunge wa Mtama(CCM), Nape Nnauye ameeleza kuwa wananchi wamemuuliza Bomberdier ndiyo nini.

Katika ukurasa wake wa Twitter ambao unaonyesha Nape akiwa katika picha na wananchi wa kijijini ameandika hivi “Watu hawa wanapambana na hali zao! Waliniuliza bomberdia ndio nini? Na sie wa vijijini tutafaidikaje au ni kwenu mjini tu!??


Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu jamaa ni vp....unauliza watu ndege wakati hata kiwanja hawana

    ReplyDelete
  2. Bidhaa km matango mihogo pilipli embe matikiti n.k vina soko sana ulaya hasa UK. Kenya wanauza sana ila hakuna yoyote toka to. Nilipouliza nilijibiwa Kenya wana ndege inayowezesha usafirishaji wa perishable goods
    NAFURAHI TZ IMEANZA KUNUNUA NDEGE. BIDHAA ZA WANANCHI WA MTAMA ZITAWEZA KUPATA SOKO NJE NA WATAFAIDIKA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad