Watu Wasiojulikana...Watajulikana Lini? Haya Ndio Matukio Waliyoyafanya

WATU WASOJULIKANA..
.
#Walimteka na kumng'oa meno kiongozi wa madaktari Ulimboka hawakujulikani,

#Walimteka na kumng'oa jicho kiongozi wa wanahabari Absalom Kibanda hawakujulikana,

 #Wakamtolea bastola hadharani na kumtishia Waziri Nape Nnauye hawakujulikana.

#Wakamteka Roma Mkatoliki na wenzake na upelelezi unaendelea,

#Wakalipua Ofisi za kiwakili za Imma Advocates katikatika ya mitaa inayolindwa sana na upelelezi unaendelea,

#Wamempiga risasi 32 mbunge na Kiongozi wa Wanasheria wa Tanganyika pia hawatajulikana na upelelezi utaendelea!

#Jamhuri hii iliyoleta uhuru mwaka 1961,miaka 50 baadaye iko chini ya "watu wasiojulikana"

By Julius S. Mtatiro
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watu wanajulika stering wa MOVES JOHN POMBE MAGUFULI , KAMERA MAN IGP SIRO MKIWAKAMA HAWA WAWILI WATAELEZEYA MOVES ZOTE ZINAZOCHEZWA HAPA TANZANIA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wacha upuuzi wako.
      Umetumwa au Unakisia?
      Unaelewa au Unajielewa au Umelewalewa
      Kama Huna cha Kuandika au cha kufikili.
      Jiulize Hivyo VXR huwa zinaibiwa au Zinatekwa.
      Kupa nafasi katika chama chako . Unahitaji Umaruufu au KIKI.
      Je Mwenyekiti wako akiijua Movie yako .. Anazuia kwa Jina la nani lako au la stelingi.
      Tafadhali Nyamaza waache watu wafanye kazi zao Husika.
      Tanzania imekosewa na Wengi. Na imeliwa na kuibiwa sana.
      Sasa cha Ajabu ni kwamba hili Taifa lina watu Zaidi ya Milioni na Upuuzi.
      Je wewe ni mmoja wapo ...???

      Delete
  2. Wacha upuuzi wako.

  3. HAKUNA WAHALIFU WASIO JULIKANA TANZAZNIA, HIZI MOVES ZINACHEZWA , NA JOHN POMBE MAGUFULI NA POLISI, MSIWE MNAZINGUWA BANGI , LENGO NI KUMUUWA LISU LAKINI MUNGU AMEKATAA, WATU KUTEKWA MABOMU KULIPULIWA MAOFISI HAKUNA MTU ANAKAMATWA NA HII YA LISU HAKUNA MTU ATAEKAMATWA, WATAZINGUWA BANGI, WAKIONA KELELE NYINGI WATAWAKATA WATU WASIO NA HATIYA , KISHA KUWABAMBUKIZA KESI FEKI, VIJANA WA DODOMA MKAE MAKINI SANA, WATAKUJA HAO NA GARI LAO WATAWATEKA KISHA WATAWAMBIYA , KAMA MTAKA KUSHI MKUBALI MAHAKAMANI KAMA MLIPIGA LISU RISASI, MOVE INAENDELYA HII YA LISU PART ONE, PART 2 INAKUJA

    ReplyDelete
  4. Wacha upuuzi wako.
    Umetumwa au Unakisia?
    Unaelewa au Unajielewa au Umelewalewa
    Kama Huna cha Kuandika au cha kufikili.
    Jiulize Hivyo VXR huwa zinaibiwa au Zinatekwa.
    Kupa nafasi katika chama chako . Unahitaji Umaruufu au KIKI.
    Je Mwenyekiti wako akiijua Movie yako .. Anazuia kwa Jina la nani lako au la stelingi.
    Tafadhali Nyamaza waache watu wafanye kazi zao Husika.
    Tanzania imekosewa na Wengi. Na imeliwa na kuibiwa sana.
    Sasa cha Ajabu ni kwamba hili Taifa lina watu Zaidi ya Milioni na Upuuzi.
    Je wewe ni mmoja wapo ...???

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbona una washwa wewe? kwani Mtatiro alichokisema kina ubaya gani? mbona unajishtukia, yeye kasema watu wasiojulikana, wewe unawajua? mbona kama jiwe limekupata unapiga kelele, au nawewe ni mtu usiyejulikana, fact hapa ni kwamba hao waliofanya hayo yoote, pamoja na kuteka Ben Saanane, hawajulikani.
      ila unaongea jama vile umeguswa na hili, kmama unawajua basi tutajie tuwajue....Fuck you and your mom.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad