Wazee hao wanasema kitendo cha Spika kumzuia Zitto Kabwe kuongea bungeni ni sawa na kuwazuia wao wasiongee na shida zao zisiweze kutatuliwa na kudai inaonekana hiyo kauli imeshafanyiwa kazi na kitendo cha kumwita Zitto kwenye Kamati ni sawa na kupoteza muda tu na kudai jambo hilo halimtendei haki kijana wao Zitto Kabwe na wao wenyewe.
Aidha wazee hao wamemtaka Spika Job Ndugai na viongozi wengine wasiwe na kibri na watazame mambo ambayo yanawaonganisha kwa pamoja.
Sisi wazee na Uzee wetu huwa tunachanganya Mambo kwa jinsi huwa tunashindwa kuelewa.
ReplyDeleteAngalia tulivuo changanya .
"kauli aliyotoa Spika Ndugai kuwa anaweza kumzuia Zitto Kabwe asiongee chochote"
"kitendo cha Spika kumzuia Zitto Kabwe kuongea bungeni"
Sasa hapo ndiyo utaona Zito anavyo jaribu kupangilia na kuchanganya mpaka kuwa fanya Wazee wanaojiita Wazee. Kuwa ni FEKI.
Zito utarudi KULIMA aU KUVUA DAGAA NA KUUZA?
Manake biashara ya Mtori huijui.
Kwa uelewa mdogo wa wapiga kura no wonder wabunge wetu huenda Dodoma kupiga blabla tu.Nilitegemea wazee hao wambane mbunge wao ili ajikite zaidi katika kuwatatulia kero zao na si kuwa mbunge wa Facebook.
ReplyDelete