ZARI: “Siji Kwa Magoti madale”

Zari azidi kupost picha kwenye kurasa yake ya instaggram na leo september 30 kapost picha tatu na moja kati ya post alizopost kutia gumzo ni hiyo picha ya kusema kwamba hawezi kwenda kwa magoti madale. VIDEO:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bora bi masumbuku unae kataa umri wako wakati mikono yako mwili wako unaongea eti i am 40 sio 40 tu wewe unafikia kwenye 46 huko wababaishi hao wasio na kisomo lakini sisi tunae kujua aah unajisimbua tu hee unachekesha ukija usije ina husu si unafata hilo rungu linalo pitia kila sehemu wewe dio wa kwanza ma hutokuwa wa mwisho kama umesarenda kwa daimondi ujuwe tu unawenzako

    ReplyDelete
  2. haa haa hamna shetani wala jini na wala hakuna aliekwambia uje kwa magoti what is so special with ulijitongozesha mwenyewe kwa daimond mama mwenye umri miaka 46 una kisebu sebu untaka kuja wee njoo watanzanzia tunakukaribisha wee ukuje tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad