Zitto: Serikali imekopa Dola Mil 500 Mwezi August 2017 Kimya Kimya


Zitto Kabwe Kupitia Ukurasa wake wa Twitter ameandika Haya:

"Mwezi Agosti Mwaka 2017 Serikali imechukua mkopo wa US$500m kutoka Benki ya CreditSuisse. Riba ya mkopo huu ni kubwa mno na Umma haujaelezwa"


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Angry Face...!!! Wewe inakuhusu nini?
    Serikali inajua chakufanya na ambacho si chakufanya.
    Usituletee Upuuzi wako.
    Kesho Utasema Selikali imeuza Meli ya Madini.
    Tumekustukia Zito.... Kama Huna la Maana kwa Wapiga Kura Wako na Kutatua Kero za Wana Kigoma.
    Kapumzike Awamu Hii Hauna KIKI.
    Ulizoea lakini si Sasa. Utendaji wa Serikali Ya Baba JPM TUNAIMANI NAYO NA SIYO WEWE.
    UMECHAPISHA kADI NGAPI ZA eKTI KUJIPATIA uLAJI.....!!!!
    nYIE MNAWAUMIZA wananchi.
    aNGALIA uSTAARABU MWINGINE siasa huiwezi na imekushinda DOGO!!!!

    ReplyDelete
  2. Heeeeee.... Hivyo wewe Dogo, Shule ulikwenda.
    Syndicate loan maana yake ni Nini.
    Usipotoshe umma kwa neno Loan.
    Hebu jiulize hii uliyo copy paste. undani wake inazungumzia nini.
    UPOTOSHAJI KWA UMMA AU WEWE KUTOKUELEWA KWA ELIMU FINYU ULIYONAYO.
    UKAONA UTAPATA UJIKO... UMENOA TENA ILE MBAYA.
    HAPA KAZI TU ZITTO. NA KAMA UMESHINDWA KAZI
    BASI ITAKUWA KAZI
    KWA WEWE KUPATA KAZI
    AJILI HUWEZI KAZI
    WAKATI WA KAZI.
    KATIKA KIPINDI CHA KAZI.
    NA HAPA NI KAZUI TU ZITTO
    LALA SALAMA MWANANGU. UMESHAPITWA NA WAKATI (ZILIPENDWA KABWE).

    ReplyDelete
  3. Heeeeee.... Hivyo wewe Dogo, Shule ulikwenda.
    Syndicate loan maana yake ni Nini.
    Usipotoshe umma kwa neno Loan.
    Hebu jiulize hii uliyo copy paste. undani wake inazungumzia nini.
    UPOTOSHAJI KWA UMMA AU WEWE KUTOKUELEWA KWA ELIMU FINYU ULIYONAYO.
    UKAONA UTAPATA UJIKO... UMENOA TENA ILE MBAYA.
    HAPA KAZI TU ZITTO. NA KAMA UMESHINDWA KAZI
    BASI ITAKUWA KAZI
    KWA WEWE KUPATA KAZI
    AJILI HUWEZI KAZI
    WAKATI WA KAZI.
    KATIKA KIPINDI CHA KAZI.
    NA HAPA NI KAZI TU ZITTO
    LALA SALAMA MWANANGU. UMESHAPITWA NA WAKATI (ZILIPENDWA KABWE).

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad