Acacia Wasema Hawana Pesa za Kuilipa Tanzania

Kampuni ya uchimbaji madini, Acacia (Acacia Mining) imefunguka na kusema kuwa haina uwezo wa kulipa dollar milioni 300 kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kutatua mgogoro wa kodi.

Akiongea leo Oktoba 20, 2017 kwa njia ya simu na chombo cha habari cha Kimataifa cha Uingereza (Reuters) Afisa wa Fedha wa Acacia, Andrew Wray kampuni hiyo haina uwezo wa kulipa fedha hizo kwa serikali ya Tanzania.

Washirika wakubwa wa Acacia, Barrick Gold siku ya jana Oktoba 19 walikubalina na serikali ya Tanzania kuwa watalipa dollar milioni 300 kwa serikali ya Tanzania pamoja na kugawana mapato yanayotokana na shughuli za uchimbaji wa madini nchini.

Chanzo cha habari tovuti ya Reuters.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ila Ina uwezo wa kuwaibia wafrica?

    ReplyDelete
  2. Boss wao Barrick ameshasign kuwa watalipa. Ikiwa Acacia hawana pesa waende wakakope bank wasilete ujinga

    ReplyDelete
  3. Sasa huyu lidudu mtu anatingisha kibiliti. Ni kawaida huyu ndio nani godono blaun

    ReplyDelete
  4. Andru will be fired.
    He was not Authorised to communicate. On issues pertaining to the trached agreement

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad