Calisah Aeleza Kwanini Alishindwa Kumpachika Mimba Wema (Video)

Mwanamitindo wa kiume ambaye kwa sasa anatikisa katika mitandao ya kijamii, Calisah amefunguka mapya baaada ya kudai kuwa anafanya biashara ya kuwapachika mimba wanawake ambao wanatafuta watoto kwa gharama nafuu.  Model huyo ameiambia Bongo5 kwanini alishindwa kumpachima mimba mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu ambaye amekuwa akitamka hadharani kwamba anataka mtoto na amekuwa akitafuta kwa muda mrefu.

 VIDEO:

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Weeee hiyo siyo biashara unajiuza,kama Malaya wa kiume, Kama unawaza biashara ya kuwapa wanawake watoto Sio hivyo kwa kukutana kimwili huko ni kujiuza,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad