MADHARA KWA MWANAUME.
1.Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.
2.Maambukizi katika tezi dume(Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.
3.Kuziba kwa njia ya mkojo.
4.Utasa au ugumba.
5.Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume.
6.Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji,utelezi, au harufu kali na mbaya na hivyo kuona kuwa mwanamke ni mchafu.Pia hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.
MADHARA KWA MWANAMKE.
1.Kupatwa na mambukizi viungo vya ndani vya uzazi kama vile shingo ya kizazi,mirija ya uzazi kwa ujumla wake anaweza kuwa na tatizo la PID( PELVIC INFLAMATORY DISEASES) tatizo ambalo linaweza kuathiri mfumo wake wa uzazi.
2.Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi.(Dysmenorrhea).
3.Utokaji wa damu unaweza ukaongeza kuliko vile inavyotoka kwa kawaida yake.
4.Utasa au Ugumba.
5.Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba au kutanunuka hali pia itamsababishia maumivu kwenye uke wakati wa tendo la ndoa.
6.Athari mbaya ya kisaikolojia:Mwanamke atahisi kuwa mumewe hamjali wala mpendi bali anajali hisia zake za kingono na kwamba yeye anatumika kingono tu.Pia kuona kuwa mumewe ajali afya yake pamoja na maumivu anayoyapata lakini bado huyu mume anataka KU-DO.
NOTE
Hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.
Tunshukuru sn kwa ufafanuzi wa kina,hasa mm nilikua sijui juu ya hill.
ReplyDeleteAsante Sana kwa ufafanuzi
ReplyDeleteAsante sana ndugu mfafanuzi kwa somo zuri ningependa lipelekwe hata kwa jamii ambazo hazijafikiwa kwa ukaribu na maendeleo ya sayansi na teknolojia
ReplyDeletenimepata majibu mazuri ya maswali niliyokuwa najiuliza
ReplyDeleteNi kwa namna gani inaweza kupelekea utasa au ugumba hedhi?
ReplyDeleteKama unafany mapenzi na iktokea bahata mbaya manamke ameingiia bila we kujua ukashtuka badae ni maingia ukaacha inatahri gan na na nini cha kufanya kuodoa atahri
ReplyDeleteSwali la msingi sana
DeleteMenance
Delete