Idadi ya Waliokufa kwa Ajari ya Gari Iliyozama Ziwa Victoria wafikia 12

Idadi ya Waliokufa kwa Ajari ya Gari Iliyozama Ziwa Victoria wafikia 12
Idadi ya watu waliokufa baada ya Toyota Hiace kuzama Ziwa Victoria imeongezeka na kufikia 12.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu amesema katika ajali hiyo watu watatu wameokolewa wakiwa hai.

Msangi amesema walionusurika wameokolewa na wananchi ambao ni wataalamu wa kuogelea
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Poleni Wasifiwa. Mungu awalaze pema Marehemu.Na awape nguvu na ustahamilivu Ndugu na Jamaaa wote walioguswa ha msiba Huu.
    Haya wa sasa Zungumzieni hii hali na siyo Maluhi Mmoja ambae anaendelea kupata Matibabu na sala zetu juu yake.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad