Irene Uwoya Abadili Dini Sasa Kuitwa Sheila na Kufunga Ndoa Nyingine

Msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya Sasa rasmi amebadili Dini yake ya awali na kuwa Muislamu na kutumia Jina la Sheila. Msanii huyu amechukua uamuzi Huu baada ya kupata bwana Mwenye Imani ya Kiislam Ambao bado hajaweka wazi Kama ndoa tayari ishafungwa Ila Kuna sherehe ya ndoa yao itayofanyika Ijumaa Ya 27.10.

Ikumbukwe Irene ni mtalaka Wa mwanamichezo WA mpira wa miguu Ndikumana Kutoka nchini Rwanda na walibarikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume.

Hizi ni baadhi ya picha katika maandalizi ya ndoa Yake mpya



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad