Kigaila amesema kuwa kabla ya Mbunge wa Singida Mashariki kupigwa risasi Septemba 7, 2017 mjini Dodoma huyo kijana kupitia mitandao ya kijamii aliomba apewe ruhusa ya kumuuwa Lissu kwa mikono yake mwenyewe. Kigaila amedai kuwa kijana huyo hivi sasa ameendelea kuandika ujumbe mbaya zaidi kupitia mitandao hiyo hiyo ya jamii bila ya polisi kumchukulia hatua zozote zile.
"Sasa huyo kijana anaandika vibaya zaidi anasema 'Anasikitika sana kwa mtu aliyefanya hilo tukio la kumpiga Lissu anasema alitegemea asikie Lissu amekufa siyo kwamba Lissu amejeruhiwa na anasema wanamsubiri Lissu atakaporudi Tanzania mara hii hawatafanya kosa, wanasema walifanya kosa Dodoma sasa huyu mtu awe ni yeye kweli au si yeye aliyefanya tukio hilo, awe ni mwendawazimu au si mwendawazimu tulitegemea polisi wawe wameshamkamata wapo naye wanamuuliza haya anayosema ni kwa sababu gani lakini polisi halimuoni huyo kijana" alisema Kigaila
Aidha Kigaila amesema kuwa kitendo cha polisi kutomchukulia hatua kijana huyo kinazidi kuwapa mashaka kuwa huenda wanamtambua huyo kijana lakini hawataki kumkamata kwa sababu zao binafsi.
Sasa wewe Benson Kigaila uko kanda gani?
ReplyDeleteNa utaifa Wako Ni upi?
Why do you politicize the TL issue?
Wacheni kesho letu lifanye kazi take bila mashinikizo ya midomo yenu na vijiwe vyenu.
TL liliyomsibu Ni Janga kama majanga yanayo watokea viumbe kila Leo.
Ajali barabarani . Ajali kazini.
Ajali chamani.
Ajali katika treni. Zimeua wengi Kintinku Dodoma wakati ule Na majuzi juzi.
Ajali za koroboi karibu Na vyandarua Na kuunguza watu( hii imenitokea.
Vyote mwisho WA siku Ni Ajali.
Kwa hiyo nyamazeni Na muwawache wahusika waendelee Na kazi zao bila kuwafundisha au kuelekeza nini cha kufanya. Umenielewa Kigaila.
Kuwa Na Amani Na uwe Na Imani.
Na zidi kumuombea mgonjwa apate Ahueni.
Kuhusu Tundu Lisu aliejiapiza ili kuhakikisha Raisi Maghuful ashindwe kutimiza majukumu yake ya kuwatumikia watanzania ipasavyo ya kuwaletea watanzania maendeleo yanayohitajika ili kuboresha hali za wananchi. Kwa kweli tuwacheni siasa Lisu alijotelea muhanga ili kuhakikisha serikali ya Magufuli inafeli na pengine hamu ya Lisu na washirika wake wangetamani serikali ya Magufuli iwe ya hovyo kuliko serikali za awamu zilizopita. Lakini tujiulize Kufeli kwa serikali ya Magufuli kwa Manufaa ya kisiasa ya Chadema sisi watanzania tumerogwa na nani? Binafsi bila ya kumumunya maneno Tundu Lisu na wale wote wenye nia ya kupinga maendeleo kwa kisingizio cha uhuru wa kusema wa kidemokrasia basi hao watu wasiojulikana tunaomba msisite kuwachukulia hatua wanasiasa wa namna hiyo. Hawa akina Lisu walikaa kimmya na kubeza kwa vicheko mauji ya kibiti. Waliomjeruhi Tundu Lisu si uongo wamefanya makosa walipaswa kummaliza kabisa iwe fundisho kwa wasaliti wanaojificha kwenye kivuli cha siasa.
ReplyDeleteTawire bro....hebu kunywa soda hapo 'kwa-ngosha' nitalipa
DeleteTawire Manake alikazana kumpinga Raisi kila. Kila anavyojitaidi kulipeleka Taifa pahara pazuri yeye mwiba, Sasa tukiwa na Raisi kama hao wakina Lissu si shida tupu. Hatutatofautiana sana na mataifa ya ya west Africa Manake hayo yanaeleweka mpaka ulimwengu wote wjua hasa west central.mmmh ukitoa hao walimpiga risasi Sio jambo jema kwa binadam.
DeleteHivi Nyinyi hapo juu mnazo au hamnazo. Kosa kilakitu uwe kilaza. Ni tatizo la wengi kukosa akili.Wala hamjui maendeleo yanaletwa vipi na nani. Kazi ya Raisi ni kusimamia utendaji wa kazi toka kwa viongozi wake wa chini. Wakiwa wabunge, Madiwani. Lakini si kuamuru. Na nyinyi msioyajua Madaraka ya Raisi ni nini ndo mnashindwa kuwaelewa hawa. Kuna sheria zimewekwa ni nin Raisi kazi zake. Ana washauri ambao inabidi wamshauri anapotoka nje ya madaraka yake. Kwa awamu hii wote wapo kimya. Ni sauti moja ya Raisi piga tu. Kunamienendo ndani ya nchi inatulinda toka juu mpaka chini.Na yasiingiliane kikazi.Watu wanamwogopa kama Mungu.Sasa hawa viongozi wasio na neno na wanakubali tu, Yes Sir No sir. Shida ipo.
ReplyDeleteHuyu ni kijana mwenye maono yake. Yeye anaongea tu ni freedom of speech. Na yote ni kutokana na uchungu na mustakabli wa Taifa hili ulivyokuwa unaelekea ulikuwa unaonekana kulimaliza taifa. Kwani kulianza kuzuka waliokuwa nacho na wasiokuwa nacho, masikini na matajili, manaanake ilikuwa kila mut atakula kulingana na urefu wa kamba yake, Sasa wale mwenzangu na mimi walala hoi wakimbilie wapi zaidi ya kuibiwa na kunyonnywa tu, watu walizidi wizi. Ufisado, rushwa ,kila Aina ya taka taka, tukiwa wote sawa hahahaaa no tatizo kwa kuwa wote tutajitafutia kulingana na jasho lako la hapa kazi tu,
ReplyDeleteKatika watu waliokuwa hamnazo basi wafuasi wa chadema wakiongozwa na Tundu Lisu ni pumba kabisa na ndio maana watu wasiojulikana walitaka kummaliza.Ati kazi ya raisi ni kuamuru tu? Wazungu wanaita head. Na waswahili wanaita kichwa. Kichwa ni maakazi ya akili ya kiumbe chochote kile. Kutokana utkufu wa kichwa kubeba amana hadimu kwa kiumbe yaani akili. Ndipo kiongozi wa kundi fulani liwe la utafiti,kisiasa, au uhalifu nakadhalika wazungu wamekitukuza kichwa kwa kumwita kiongozi kichwa, headmaster, head clerk, head cleric,nk
ReplyDeleteRaisi ni kichwa cha nchi kum,buguzi kwa kwa bughuza za kipumbavu ni dhahiri lengo lake ni kupoteza muelekeo wa nchi sasa lipi muhimu zaidi? watanzania wakae kimya na kuachia nchi yao ipoteze muelekeo au waamke na kumpoteza anaetaka kuipoteza nchi yao?. Maghuful hakujiweka pale kwa nguvu zake bali yupo pale kwa nguvu za wananchi. Kwa hivyo kwa watu wenye akili zao kamwe hawawezi kuwa na mawazo ya kupambana na Maghuful kabla ya kufikiria waliomuweka pale.
Tena aisee hao chadema Nadhani wangetuuza kabisa kama Taifa maanake ni pumba sanaaa,
DeleteHuyu jamaa kwani vepe......nakumbuka aliwaambia wana habari kupigwa risasa tundu polisi waanze na Makonda, sasa kaja na story nyingine mpya.....mnatapatapa bure, chadema wenyewe mnajua nini kinaendelea, hebu anzeni na mwenyekiti wenu 'wa-maisha'.......KIKULACHO-KINGUONI-MWAKO
ReplyDeleteNaaam! KIKULACHO KINGUONI MWAKO, na BAKORA MKONONI MWAKO, AKILI KICHWANI MWAKO" CHADEMA wanatafuta mwizi wa shoka ilhali shoka liko begani mwao.
Delete