Leo Anazaliwa Rais John Pombe Magufuli 'Heri ya Kuzaliwa Mr. JPM

Leo Anazariwa Rais John Pombe Magufuli 'Heri ya Kuzaliwa Mr. JPM
Siku kama ya leo, Oktoba 29, 1959, Rais John Pombe Magufuli alizaliwa. Kampuni ya Global Publishers, uongozi na wafanyakazi wote, wanakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Tunakuombea Mungu akulinde, akupe afya njema na kuendelea kuwatumikia Watanzania katika kipindi cha uongozi wako.




Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAPPY BIRTHDAY MH RAIS MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUPA UWEZO NA UMRI MUREFU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad